Baada ya kuachana

Baada ya kuachana

Hii ndio sababu ya wewe kuumia na kumkumbuka.

Hujapata aliyemzidi na inaonekana ukipata mtu una compare na Nana,kwa namna hiyo utaumia milele sababu wanaume huwa tuna tabia tukiachana na gf unadhamiria kutafuta aliye mshinda kwa uzuri na inakuwaga ngumu most of the times.

Cha kufanya block her kwenye social networks zote ili usiwe unaona post zake then anza kuishi maisha yako na si maisha ya kuendeshwa na fikra za uwepo wake
xfactor Gwara mjamaa umesema vitu ambazo zimeniingia kunako moyoni ngoja ntake action sasa faaaasta lazma nimsahau....... U know sikuaga mlevi lkn at last nkajikuta nakua chapombe wa ajabu eti nimsahau...... Aloooo mapenzi achana nayo kabisaaa
 
Last edited by a moderator:

aseeeeee!
 
Last edited by a moderator:
Hilo tuu usijal kabisa na ulijuaje kama napendaga hihihihihi........... Dondosha digits sasa faaaaaasta......

we maliza kwanza kulilia kipusabebi ulichokibalasa!
na we naeeee una kiranga!
ulimuachaje sasa ?
sa hiz karoho kanaumajeeee ,kawaje mcuteeeee,hihihihihihi !
 
Nokia83 ni mwaka kama na miezi toka nmepigana chini na Nana wangu rasmi na hapa kati nkatumbukia siko sa nw najikuta namkumbuka saaana Nana wangu...... Hataki nsamehe turudiane anadai ana mtu i hurted her nakubali ila nshajutia sana na kujiona mkosaji na kujua what ws my p........ Ila ndo hvo guess it is too late

Pole sana
 
Last edited by a moderator:
we maliza kwanza kulilia kipusabebi ulichokibalasa!
na we naeeee una kiranga!
ulimuachaje sasa ?
sa hiz karoho kanaumajeeee ,kawaje mcuteeeee,hihihihihihi !

Hahahha hakuna anaejuaga kabla baada ya shit kuhappen ndo unagutuka......... Acha tu snownyeupe......... Ila nkimpata teeeena hachomoki aiseeeeee.........
 
Why Lady in action unamchukia ex wako??! Si vizuri ujue..... And thats wht is eatin and killn me now maana mi sina ugomvi nae ila sasa yeye ananchukia saana kiasi kwamba hata amani nae hataki. Kila mtu huanguka ukigundua mtu anaregret msamehe maisha yasonge.

Sizan kama itakuja kutokea kwangu coz yeye nisababu ya maisha yangu kuwa hivi namchukia sana sana tena saaaaana
 
Sizan kama itakuja kutokea kwangu coz yeye nisababu ya maisha yangu kuwa hivi namchukia sana sana tena saaaaana

Doh poleh aiseee....... Hivo ulivo aje?? Tushee basi kidogo hihihihihi maana hako kamsemo kanavutaaa.....

Nahis na mm nachukiwa sana aiseee maana i hurted ha mpk nkiwazaga nahisi it wasnt me.
 
sijui kwa nini
huwa siamini kama wanaume wanaumizwa na mapenzi
xfactor Gwara mjamaa umesema vitu ambazo zimeniingia kunako moyoni ngoja ntake action sasa faaaasta lazma nimsahau....... U know sikuaga mlevi lkn at last nkajikuta nakua chapombe wa ajabu eti nimsahau...... Aloooo mapenzi achana nayo kabisaaa
 
Aisee mimi huwa simkumbuki aisee. Huwa najitahidi sana kukumbuka mabaya yake af kila nikimkumbuka naachia bonge la sonyoo...baada ya muda anakuwa amenitoka kabisaaa

je, kama mazuri yamezidi nguvu mabaya?
 
Khantwe unazidi kunifunza vitu, mi huyu nikikumbuka sumu na mizinga yake..naachia msonyo mpaka mate yananikauka!
 
Last edited by a moderator:
Khantwe unazidi kunifunza vitu, mi huyu nikikumbuka sumu na mizinga yake..naachia msonyo mpaka mate yananikauka!

Hahahah Majigo lkn mambo mengine yanarekebishika bwana....af muda mwingine huwa mnatuendekeza hivi akikupiga mzinga umwaambie huna hela unapatwa na kichomi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom