Baada ya kuachana

Baada ya kuachana

Mmmhhh ila tunajifunza mengi na kukomaa akili daaa kuna ----- mmoja aliniendeshaga jaman daaa nikikumbuka napata hasira ila sina cha kumfanya
 
  • Thanks
Reactions: BAK
yaani leo namuwaza sana my ex ukizingatia limama watoto limeniudhi ndo kabisaaaa.it really was perfect but shit happens and now am stuck na huyu arghhhhhh

Hahahaaa nimecheka . Pole lakn
 



Mmmhhh ila tunajifunza mengi na kukomaa akili daaa kuna ----- mmoja aliniendeshaga jaman daaa nikikumbuka napata hasira ila sina cha kumfanya
 
Last edited by a moderator:
Dr. Chichi poleh sana muheshimiwa ndo maana wananiulizaga kwann nipo nipo kwanza nacheka cheka tu ilaaaa majibu yapogo moyoni....... Maana nahisi nliotema nao ndo suits mi.

Tafuta mmoja wao umrudie.
 
Last edited by a moderator:
Nikiacha nimeacha why bring back bad memories????
Nina roho ngumu hata iwe alikuwa mwema haipaswi akumbukwe nafunga mkanda safari iendelee.

Waambie hawajui, ukiona ulifanya maamuzi halafu unajutia ujue hukua making au haupo makini katika maamuzi yako.
 
Back
Top Bottom