kipusatembo
Member
- Jun 19, 2014
- 88
- 29
- Thread starter
- #41
Kim nana umeongea kitu cha maana sana and that is what is needed....... By da wei id yako inantisha ndo wewe nini maana na yeye anajiitaga Nana hivo hivo........Jifunze kusamehe, me nlikuwa namchukia sana...ila nimejifunza kusamehe nimemsamehe...coz nimegundua pamoja na mabaya yake pia alikuwa na mazuri yake
Pia amenifundisha kutowaamini wanaume, amenikomaza kihisia na kifikra.....baada ya kuachana ndo nilianza kujua rangi halisi za maisha na za binaadamu....namshukuru.
Msamehe, usimchukie utaishi kwa amani....
Last edited by a moderator: