Na hii ya r kelly
If I could turn, turn back the hands of time
Then my darlin' you'd still be mine
If I could turn, turn back the hands of time
Then darlin' you, you'd still be mine
Funny, funny how time goes by
And blessings are missed in the wink of an eye
Why oh why oh why should one have to go on suffering
When every day I pray please come back to me
For sure love sucks maana at times one mistake magoli elfu
yaani leo namuwaza sana my ex ukizingatia limama watoto limeniudhi ndo kabisaaaa.it really was perfect but shit happens and now am stuck na huyu arghhhhhh
Binafsi namchukia sana my X mungu anisaidie tu
Jifunze kusamehe, me nlikuwa namchukia sana...ila nimejifunza kusamehe nimemsamehe...coz nimegundua pamoja na mabaya yake pia alikuwa na mazuri yake
Pia amenifundisha kutowaamini wanaume, amenikomaza kihisia na kifikra.....baada ya kuachana ndo nilianza kujua rangi halisi za maisha na za binaadamu....namshukuru.
Msamehe, usimchukie utaishi kwa amani....
Pole sana kipusaelephant...lazima kuna matatizo ktk mahusiano yako ya sasa.
Nokia83 sikatai nna mashida tena si kidogo ila pia nmesema watu maana najua tuko weengi.
Mungu anakulipa maumivu uliyowapa wenzio...
Mkijua mnapendwa mnasumbuaaa, sasa hapo jiandae kufa kwa presha, chezea stress za ndoa!
Usimuwaze wa zamani mkuu
Binafsi namchukia sana my X mungu anisaidie tu
Memories ni kitu kibaya saana na kinachoumiza zaidi baada ya kuachana na mpenzi wako. Hata kama mtu ulikua humpendi ila kuna that part of him or her itakayokuwa inakufanya umkumbuke na hapo ndo mtu unapokua unaiona chungu ya kuachana
Mbaya zaidi siku hizi these social networks ndo balaa unapitia pitia Insta ama fb ama kwingineko unaona picha zake tena anaonesha he o she is happy zaidi ndo unazidi JICHUKIA na kujiona kama wewe ndo ulikua a PAIN in his or her as.
Hapa haimati kama wewe ndo ulizingua ama yeye the thing is KUACHANA. Poor me, nakukumbuka mpaka kesho you were the best and you will always be.
I wish i could turn back the hands of time.