Baada ya kuachana hili ndilo analolifanya nimfanyeje?

Baada ya kuachana hili ndilo analolifanya nimfanyeje?

SHIGOTTO

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
156
Reaction score
282
Wandugu kwa mara nyingine nilishawahi leta uzi hapa kuhusu mahusiano na mdada mmoja yenye tiltle kuwa tumeachana kisasa. Kiukweli baada ya pale maisha yaliendelea lakini wiki moja kabla ya pasaka bi dada alianza kunipigia simu, niliamua ku block mawasiliano naye na wala hanioni kwa Whatsap chart au status, ila amekuwa anapiga cm kupitia cm yangu ya kitochi, anapiga mara kwa mara na kwa vile naijua namba yake huwa sipokei.

Kwa hatua nilizochukua huyu asahau kuwa iko siku nitamtafuta. Sasa kwa vile hakomi kupiga simu hebu tuongee ni nini hasa anataka huyu bibie.

Napenda kuwakilisha kwa maoni na mawazo wandugu
 
Nimefikria sana kupokea cm zake, naona utakuwa ndo mwanzo wa mazungumzo ya kutaka kurudi kwa zamani mwache tuuuu
ila sitopokea hata iweje
 
Blaza huenda kuna mchongo anataka akupe pokea tu kuachana sio uadui kiasi cha kutopokea simu zake maybe kama kuna vitisho vya kuharibu mahusiano yako mapya.
 
Mkuu Pokea simu.Njia rahis ya kuachana na mtu sio ya kujifanya unamsusia.Kumbukua she is not just some one.Ni mtu ambaye at one point ulimjali and that never changes.Usijione KEKI you are just..........any way mnajuana wenyewe
 
Ila wakati mwingine Jf kuna watu wanachekesha sana..sasa badala upokee simu ya huyo hawara yako ufahamu anataka nini unakuja kuuliza watu hapa..tutajuaje sasa anachotaka.
Hizi shule zifunguliwe tu.
 
Nipe namba yake nimskilize anataka kukuambia nini nitaleta mrejesho hapa
 
Mkuu Pokea simu.Njia rahis ya kuachana na mtu sio ya kujifanya unamsusia.Kumbukua she is not just some one.Ni mtu ambaye at one point ulimjali and that never changes.Usijione KEKI you are just..........any way mnajuana wenyewe

...... a stupid piece of shit... (hapo kwenye deshi deshi).
 
Nilivoona tu unaandika cm badala ya Simu nikajua kuna shida mahali.Huyo dada Mungu amemuokoa katika namna ya kushangaza.
 
Back
Top Bottom