omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Baada ya ku-install hio pes nimeshangaa wakati wa kuifungua inaniandikia kama picha inavoonesha chini apo sijui nimekosea nini au wapi na nifanyaje?
paste hiyo crack kwenye folder la gameBaada ya ku-install hio pes nimeshangaa wakati wa kuifungua inaniandikia kama picha inavoonesha chini apo sijui nimekosea nini au wapi na nifanyaje?View attachment 1095632
Crack ipi broo. Naomba nieleweshe kidogo apo mkuupaste hiyo crack kwenye folder la game