Baada Ya Kishapu, Manyoni Nao Watangaza Njaa

Kigodoro

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,660
1,679
Mbunge wa Manyoni (sikumbuki kama ni mashariki ama magharibi) ameungana na wananchi wake kutangaza njaa wilayani humo.

Kama mtakumbuka, hivi karibuni (siku ambayo rais alikuwa anaondoka kuelekea Addis Ababa) baraza la madiwani wilayani Kishapu kwa kauli moja waliitangazia dunia kuwa kuna njaa wilayani humo.

My Take:
Serikali Ya Awamu Ya 5 fungueni masikio katika hili.

source: itv habari
 
Rais amesema yeye anayejua wapi na nani ana njaa, na kwa sasa hakuna njaa, au mnamjaribu?
 
Mpishi amesafiri ngoja arudi wale wa igunga waliulizwa njaa mnataka niwapikie wakakaa kimya

Badala wamuonyeshe jiko awapikie wao wanachukia
 
Mvua zinaanza mdogo mdogo mwezi ujao zitaanza kuongezeka msikate tamaa pandeni mazao ya mda mfupi
 
Back
Top Bottom