Baada ya kila dakika 30 mtu 1 anauliwa Huko Merekani

Baada ya kila dakika 30 mtu 1 anauliwa Huko Merekani

Mahmood

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2008
Posts
7,908
Reaction score
2,480
Baada ya kila dakika 30 mtu 1 anauliwa Huko Marekani, baada yakila dakika 2 mwanamke anabakwa na baada ya kila dakika mtu 1 anaibiwa.....

Hii inchi inaogopesha sana. Hata Tanzania yetu afadhali.
 
American dream is a guilty-pleasure even for Islamists/
 
Baada ya kila dakika 30 mtu 1 anauliwa Huko Merekani, baada yakila dakika 2 mwanamke anabakwa na baada ya kila dakika mtu 1 anaibiwa huko Merekani......

Hii inchi inaogopesha sana. Hata Tanzania yetu afadhali.

Tanzania hatuna hata data, inawezekana ni marambili ya hivi, per capita.

What with all the buildings collapsing and buses/ lorries massacres passing off as "accidents".

We only need to kill 48 people per day. Kwa leo hilo jengo lililobomoka tu tayari linatupeleka huku.

Na Marekani ina watu kama mara 7 ya Watanzania.

Go figure!
 
hakuna cha kushangaa na izo fallacy research mi navojua kwa US ni zaidi ya hapo kwani US ni muunganiko wa nchi zaidi ya 54 kwaiyo ni sawa na bara la Afrika je unajua ni wangapi wanakufa hapa Tz na wangapi wanaibiwa pale MSIMBAZI STREET , KONGO STREET (DSM), SOWETO, NGARENARO, UNGALIMITED (ARUSHA) NA WANGAPI WANABAKWA UKO KWA MADIBA AU UJUI KUA KWA UBAKAJI AFRIKA KUSINI WANAONGOZA? KAJIPANGE USITOE MADA ILI TUJUE UPO US.
 
Towa boliti ndani ya jicho lako ndipo utowe kibanzi ndani ya jicho la mwenzako
 
kila baada ya sekunde tano mtoto anakufa kwa malaria tanzania. tiba hovyo.
kila saa moja mama mjamzito anakufa.
ongeza wanaouawa na polisi. wanaouawa magereza. wanaochinjwa na TISS. huko mitaani wanaouana ndio usisema.
kwa dk 1 Hapa tz wanakufa watu 20.
 
Baada ya kila dakika 30 mtu 1 anauliwa Huko Merekani, baada yakila dakika 2 mwanamke anabakwa na baada ya kila dakika mtu 1 anaibiwa huko Merekani......
So, you mad bro?
 
Back
Top Bottom