Baada ya kifo cha Mengi ITV imekuwa kama TBC

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,112
2,379
Kichwa cha habari chajieleza, hii channel imekosa ule mvuto wake kabisa, imeungana na TBC kupiga mapambio.

Kipindi cha dakika 45 ndio kabisa kimekuwa kama Tunatekeleza cha kule TBC, Deogratius Rweyunga anaboa kweli kweli.
 
Back
Top Bottom