Baada ya kifo cha Kanumba, Bongo Movie imepoteza mvuto. Ruge kakutoka, tugemee Bongo Fleva na Clouds Media kupotea

Hii point itaishi miaka yote na kuja kufanywa kama reference au case study kwenye mambo ya kibiashara na innovation
 
Kwani kufa kwa Hitler na udikteta umeisha?
Hebu muwe serious
Watu wanaamka na vipaji kila kukicha
Watakuja na wataondoka na watakuja wengine hii inaitwa circle of life

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kuna mtu anaitwa Nabii Mswahili yuko vizuri sana kwenye movie
 
Hyo sentesi ya chini imenikumbusha kifo cha dada yangu "mwili ulikataa pesa zote hazikufua dafu" Kifo hiki jamanii. Mungu tusaidie
 
Namuheshimu sana Ruge tallent yake na makubwa yote aliyoyafanya, lakini tuache kuabudu binadamu, kuna watu wana uwezo mkubwa na vipaji kuliko Ruge ila hawajapewa nafasi kuonyesha uwezo wao, kama ni connection hakuna kama Kim Kimbangambanga anaweza kukufanyia appointment na Rais yoyote Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…