Baada ya JK kuridhia kuvunja baraza la Mawaziri ni nani kati ya hawa wanaweza kurudishwa?

Mchokozi

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
215
29
NA.
OFISI/WIZARA
WAZIRI
NAIBU WAZIRI
1.
Ofisi ya Rais

  1. WN – OR – Utawala Bora
Mathias Chikawe

  1. WN – OR – Mahusiano na Uratibu
Stephen Wassira
2.
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
Hawa Ghasia
3.
Ofisi ya Makamu wa Rais

  1. Muungano
Samia Suluhu

  1. Mazingira
Dr. Terezya Luoga Hovisa
4.
Ofisi ya Waziri Mkuu

  1. Sera, Uratibu na Bunge
William Lukuvi

  1. Uwekezaji na Uwezeshaji
Dr. Mary Nagu
5.
Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
George Huruma Mkuchika
1.Aggrey Mwanri2. Kassim Majaliwa
6.
Wizara ya Fedha
Mustapha Mkulo
1. Gregory Teu
2. Pereira Ame Silima
7.
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Shamsi Vuai Nahodha
1. Balozi Khamis Suedi Kagasheki
8.
Wizara ya Katiba na Sheria
Celina Kombani
9.
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Bernard K. Membe
1. Mahadhi Juma Mahadhi
10.
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi
11.
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Dr. Mathayo David Mathayo
1. Benedict Ole Nangoro
12.
Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Prof. Makame Mnyaa Mbarawa
1. Charles Kitwanga
13.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Prof. Anna Tibaijuka
Goodluck Ole Madeye
14.
Wizara ya Maliasili na Utalii
Ezekiel Maige
15.
Wizara ya Nishati na Madini
William Mganga Ngeleja
1. Adam Kigoma Malima
16.
Wizara ya Ujenzi
Dr. John Pombe Magufuli
1. Dr. Harrison Mwakyembe
17.
Wizara ya Uchukuzi
Omari Nundu
1. Athumani Mfutakamba
18.
Wizara ya Viwanda na Biashara
Dr. Cyril Chami
Lazaro Nyalandu
19.
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Dr. Shukuru Kawambwa
1. Philipo Mulugo
20.
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
Dr. Haji Hussein Mpanda
1. Dr. Lucy Nkya
21.
Wizara ya Kazi na Ajira
Gaudensia Kabaka
Makongoro Mahanga
22.
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Sophia Simba
Umi Ali Mwalimu
23.
Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo
Emmanuel John Nchimbi
1. Dr. Fenella Mukangara
24.
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Samuel John Sitta
1. Dr. Abdallah Juma Abdallah
25.
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika
Prof. Jumanne Maghembe
1. Christopher Chiza
26.
Wizara ya Maji
Prof. Mark James Mwandosya
Eng. Gerson
 
yn hpo mjomba angoi mtu navyomjua bali atawagawa secter nyngne kama alivyofanyaga kwa yle wazir mkubwa mstaafu,cz wle ni ndgu,jirani,rafiki,shemej na wanamichongo ya cha paaa!
 
yaani mkuu hapo tikienda kwenye haki kabisa anayestahili kurudishwa kwenye bbaraza ni mmoja tu naye ni dr pombe magufuli,lkn baba mwanaasha ninavyomjua mabest zake mhhh lzm atawapa kipaumbele,ukizingati mambo fulani ya ulaji......
 
Back
Top Bottom