Baada ya hoteli ya Ngurdoto kugeuzwa hosteli kutokana na hali mbaya ya uchumi awamu ya tano, sasa imerudi kwa nguvu kubwa

Magaidi yamerudi. Hebu angalia mauwongo haya...

CHADEMA kwa Uzushi. Toba.
 
Kila kitu magufuli, mrema ya alikufa na vitu vyake... Rejea ya Impala hotel na naura springs....

Mbona hoteli zingine hazikufa? Mambo ya kulazimisha mikutano ya serikali ifanyike mahoteli makubwa ili mpige 10% magu hapo ndo alijua kuwanyoosha
Haswa!

Watu wanakula Bata kwa masemina ya ajabu ajabu!

Mahoteli mengi kwa kweli yalifungwa kwa kukosa semina na mikutano feki!
 
Kila kitu magufuli, mrema ya alikufa na vitu vyake... Rejea ya Impala hotel na naura springs....

Mbona hoteli zingine hazikufa? Mambo ya kulazimisha mikutano ya serikali ifanyike mahoteli makubwa ili mpige 10% magu hapo ndo alijua kuwanyoosha
Magufuli alikuwa mtu hovyo na mbaya kupindukia, alitaka kuua biashara ya utalii Arusha eti apromote utalii Chato! Tunashukuru Arusha inarudia utukufu wake wa asili na tunashuhudia Chato ikurudia uasili wake pia! Mungu fundi!
 
Uko Sawa kichwani kweli?
 
Maelezo memgi picha hakuna hii habari ni kujifariji tu
 
Naona unawatafuta chato gang!

Subiri waje ule matusi🤣
Kajinga sana hako katoto,kufungia lodge Moja ndiyo kuharibu uchumi,mvua zinaendelea kunyesha lkn mgao wa umeme unashamiri siku nzima Leo hapa hakuna umeme Kwa wiki siku mbili hakuna umeme,nyie wahuni ndio mnao haribu uchumi Sasa.
 
Hii Rwanda ipo kila mahali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…