Ntopo Kilebente
Senior Member
- Apr 3, 2021
- 191
- 246
Hamisi mbona anajifanya Kama ndo amefufuks na yes kwenye pasaka hii?? Alikiwa wapi siku zote?
Alijifanyaga hivi hivi kumuuliza Mo kuhusu Simba na B20.
Anazingua huyu bora maswali yaulizwe na mwingine ila huyu hapana kama angekuwa mzalendo kweli angeonesha misimamo gangu enzi zile kama former CAG