Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Wewe ndiyo matope kabisa na nawaonea huruma wanao kulisha chakula kila siku
In God we trust
In God we trust
Leo ndio wameanza kukumbuka majimboni..?wameacha kujifungia ufipa na kulalamika kwenye twitter?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona sasa Mbowe alivyowaharibuni nyie vijana wake. Ndio maana mamvi kasepa.
CHADEMA chama bora cha siasa cha upinzani katika kanda hii ya Afrika Mashariki. Kimeteswa mno kimabavu na serikali iliyopo madarakani lakini bado kutokana na udhubutu mahiri wa uongozi wake,kimeendelea kuwa chama mahiri na imara kila kukicha.
MM hebu niambie ukweli wa moyo wako, unanisikia tofauti gani unapofanya mapenzi na mtu baada ya kumshikia silaha (kumbaka) na yule unayefanya naye kwa ridhaa huku kakukumbatia kwa huba na tabasamu akisema "I love you dear"?
Utakuwa kama una akili timamu umenielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliruhusiwa majimboni toka siku ya kwanza..wao kwa miaka mitatu wakawa wanaitafuta haki ya kuzurula tanzania nzima kukashifu wengine..mentality ya jk imewasumbua kwa miaka mitatu..now wameanza ku recover.Kweli maana Jiwe aliwaruhusu kipindi kirefu sana kuwa sasa wafanye mikutano ya kisiasa
In God we trust
Waliruhusiwa majimboni toka siku ya kwanza..wao kwa miaka mitatu wakawa wanaitafuta haki ya kuzurula tanzania nzima kukashifu wengine..mentality ya jk imewasumbua kwa miaka mitatu..now wameanza ku recover.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wale, Keyboard warriors wa Mange. Sasa ni karibu na 1 year anniversary ya kumtosa dada wa watu.Dawa ni kuandamana hadi ikulu, ili jiwe likasukumiwe nje.
Kwa hiyo na wewe unajiona unajitambua hapo ulipo..?chee..kuna umuhimu wa serikali kuongeza majengo ya wodi za vichaaKawadanganye mandunya lkn siyo anaye jitambua kama mimi
In God we trust
Kwa hiyo na wewe unajiona unajitambua hapo ulipo..?chee..kuna umuhimu wa serikali kuongeza majengo ya wodi za vichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
You need help my brother. Duh!Hiyo ni kweli lkn safari hii uchaguzi utakuwa tofauti sana maana kazi anayoifanya mh Lissu huko ulaya inaenda vizuri sana msishangae tukafanya uchaguzi chini ya usimamizi wa UN
In God we trust
You need help my brother. Duh!
In God we trust.
Huwa U.N. hawasimamii uchaguzi popote, wao wanaangalia tu. Unachosubiri wewe ni dafu chini ya mchungwa. Piganieni tume shirikishi.Nilitegemea jibu kama hili siyo kwako tu hata kwa babako jiwe
In God we trust
Huwa U.N. hawasimamii uchaguzi popote, wao wanaangalia tu. Unachosubiri wewe ni dafu chini ya mchungwa. Piganieni tume shirikishi.
In God we trust.
Sawa, lake sijui rake unajua ulikoyatoa.Tatizo hujui kiswahili ndiyo maana lake unaita rake
In God we trust
Sawa, lake sijui rake unajua ulikoyatoa.
Matarajio yenu mengi yanabebwa na mihemko au kutoelewa.
Mfano ni pale watu walipolishana mbilimbi pori kuwa, kuna barua inatoka ICJ inakuja kuzuia Rais kuapishwa Nov 5, 2015.
Ndio haya ya UN unayoyarudia.
In God we trust.
Serikali yako pia.Vipi hukumu umeisikia ya kuitaka serikali yenu kuilipa konoike sh 110 billion?
In God we trust
Serikali yako pia.
In God we trust.