Baada ya Heche kubeep huko Mara, Lema anaweka vocha Arusha

MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
276
1,428
Unaweza ukawaminya watu kwa namna yoyote upendayo, unaweza ukawaziba midomo kwa namna upendavyo lakini ni vigumu kuwadhibiti kuonyesha hisia zao.

Huko Mara tumeona wananchi wakisisimkwa kwa hoja zisizo na kujipendekeza kutoka kwa HECHE.

Baada ya muda naambiwa Lema atalipuka Arusha kwa kuweka vocha then atamvoice call Mbowe ambaye atapiga kwa Watanzania akitokea hai.

Wakati huo huko Morogoro na Mbeya wataendelea kutuma text kwa wananchi hii ikiwa ni ratiba fupi ya kupima Kama chama kinakubalika au kimepoteza mvuto.

Itafahamika TU....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kushinda uchaguzi ni hoja lakini kwa upande mwingine kushinda nyoyo za watu ni Jambo muhimu zaidi.....majimbo wanayoongoza CCM hadi sasa wamefanya nini?

Wanajilimbikizia majimbo kwa NGUVU nyingi kwa kuepuka kuleta MAENDELEO.

Angalia jiji la mwanza lilivyopoa kila kitu kinakufa kwa sababu waliopo wameridhika.

Tizama Kinondoni na majimbo mengine waliyoyaatamia hakuna walichofanya...Waitara kaondoka kwa waliompa kura anaangaika na majimbo mengine yaliyopo kwa wapinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom