sio baadhi ni woteBila tume huru za uchaguzi, upinzani hawana chao! Mi sisiem wakurugenz wengi ni sisiem! Mfano, ded butiama, maswa etc
Sitanii.Mungu ibariki Chadema
MM hebu niambie ukweli wa moyo wako, unanisikia tofauti gani unapofanya mapenzi na mtu baada ya kumshikia silaha (kumbaka) na yule unayefanya naye kwa ridhaa huku kakukumbatia kwa huba na tabasamu akisema "I love you dear"?Jimbo la mtandaoni mtapata kura nyingi sana lakini hazitasaidia.
Unaweza ukawaminya watu kwa namna yoyote upendayo, unaweza ukawaziba midomo kwa namna upendavyo lakini ni vigumu kuwadhibiti kuonyesha hisia zao.
Huko Mara tumeona wananchi wakisisimkwa kwa hoja zisizo na kujipendekeza kutoka kwa HECHE.
Baada ya muda naambiwa Lema atalipuka Arusha kwa kuweka vocha then atamvoice call Mbowe ambaye atapiga kwa Watanzania akitokea hai.
Wakati huo huko Morogoro na Mbeya wataendelea kutuma text kwa wananchi hii ikiwa ni ratiba fupi ya kupima Kama chama kinakubalika au kimepoteza mvuto.
Itafahamika TU....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo jambo jema 2019 ambapo 2020 mshike mshike?Nadhani Kuminywa kwa mikutano ya hadhara ni jambo jema kwa wapinzani.
Watu wamewamiss sana.
Leo hii ni nani akisikia Zito Kabwe yupo seheme Fulani ataacha kwenda.
Au Heche,au Sugu , Au Juma Mwalim, au Mnyika , au Mdee,
Au Baba la baba Tundu Antipas Lisu.
CCM wameshazungumza sana na wamezoeleka ! Watu wanapenda mikutano ya mwenyekiti kwa ajili ya kuona watu wa kitumbuliwa na kugaiwa hela na matunda na sio vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una akili???Ulichokiandika hapa unaona kwa wenye Akili ( Upeo ) wamekuelewa au labda umeeleweka zaidi na Wapuuzi ( Mbayuwayu ) wenzio tu?
MGONJWA FISTULA WEWE,FISTULA PIA NI SEHEMU YA MAGONJWA MTAMBUKA KAMA UNAVYOJIITA WEE MWENYEWE KATIKA ULOFA WAKO!Lofa tu wewe.
Lofa wewe.MGONJWA FISTULA WEWE,FISTULA PIA NI SEHEMU YA MAGONJWA MTAMBUKA KAMA UNAVYOJIITA WEE MWENYEWE KATIKA ULOFA WAKO!
Unaweza ukawaminya watu kwa namna yoyote upendayo, unaweza ukawaziba midomo kwa namna upendavyo lakini ni vigumu kuwadhibiti kuonyesha hisia zao.
Huko Mara tumeona wananchi wakisisimkwa kwa hoja zisizo na kujipendekeza kutoka kwa HECHE.
Baada ya muda naambiwa Lema atalipuka Arusha kwa kuweka vocha then atamvoice call Mbowe ambaye atapiga kwa Watanzania akitokea hai.
Wakati huo huko Morogoro na Mbeya wataendelea kutuma text kwa wananchi hii ikiwa ni ratiba fupi ya kupima Kama chama kinakubalika au kimepoteza mvuto.
Itafahamika TU....
Sent using Jamii Forums mobile app
Write your reply...
All I have to say is the big Amen!
Mungu ibariki Chadema
Bila tume huru za uchaguzi, upinzani hawana chao! Mi sisiem wakurugenz wengi ni sisiem! Mfano, ded butiama, maswa etc
Kushinda uchaguzi ni hoja lakini kwa upande mwingine kushinda nyoyo za watu ni Jambo muhimu zaidi.....majimbo wanayoongoza CCM hadi sasa wamefanya nini?
Wanajilimbikizia majimbo kwa NGUVU nyingi kwa kuepuka kuleta MAENDELEO.
Angalia jiji la mwanza lilivyopoa kila kitu kinakufa kwa sababu waliopo wameridhika.
Tizama Kinondoni na majimbo mengine waliyoyaatamia hakuna walichofanya...Waitara kaondoka kwa waliompa kura anaangaika na majimbo mengine yaliyopo kwa wapinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ni kuandamana hadi ikulu, ili jiwe likasukumiwe nje.
Jimbo la mtandaoni mtapata kura nyingi sana lakini hazitasaidia.