Jackson94
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 505
- 600
Mara baada ya kutrend sana couple ya Ebitoke kumpenda Ben Pol na kisha kujiita "EbiPol" Sasa ni zamu ya Billnass & Nandy mara baada ya kuvuja kwa video yao wakiwa Falagha Mashabiki zao wamejitokeza na kuwapachika Jina kama ilivyokuwa kwa Ben Pol na Ebitoke.
Billnass & Nandy Mashabiki zao wameamua kuwaita *BillNandy*
Isitoshe wameenda mbali zaidi mpaka waneamua kuwatungia Nyimbo.
Kama unataka kuisikiliza hyo Nyimbo bofya hapo chini.
Billnass & Nandy Mashabiki zao wameamua kuwaita *BillNandy*
Isitoshe wameenda mbali zaidi mpaka waneamua kuwatungia Nyimbo.
Kama unataka kuisikiliza hyo Nyimbo bofya hapo chini.