bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,444
Ndugu wadau naona kuna mada nyingi sana za watu kupeana tips za kutongoza, kumu impress mtu na eventually tips za date nk
mada hii inajikita baada ya kuwa mmefanya date kadhaa mbili tatu ivi au more na mshajuana kwa mda kidogo, ktk mda wote huo mko karibu na mna date obvious kuogopa asikuone unamtaman tu hujaweka issue ya kuomba game wala kuzungumzia!!
sasa inapofika mda unaona unataka uombe the ultimate aim ya kua naye yaana game kwenye 6X6 unaanzaje ktk manner ya kistaarabu sana ili asiwe na ile dhana ya kwamba unamtaman tu kwamba akikupa utakimbia na mwisho wa siku upate????