Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Kupewa mzigo mara ya kwanza mara nyingi ndio issue inahitaji kua mjanja vinginevyo utapigwa calendar...hence una andaa mazingira mapema. Huko mbeleni sasa ndio inakua makubaliano na mara nyingi kama mtoto ulim shughulikia vizuri hachomoi wala nn. Utakula utakinai mwenyewe. Kaka we domo zege nn ?? Vitu vingine hufundishwi man ni wewe na maujanja yako tu hakuna formular ilio rasmi ina depend na dem mwenyewe.
Haya bwana....