Hassan J. Mosoka
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 682
- 323
Hivi ban ndo nini
Ndugu zangu, kwa mda wa wiki moja hivi nimekuwa jukwaani hapa kama mgeni baada ya kuzawadiwa ban kutokana na mchango wangu huko jukwaa la siasa, jukwaa lile kuna watu wanakera, wana-behave kama vile hawaoni matatizo ya nchi yetu, kwa kawaida baada ya kukaa kwenye jukwaa la siasa hatimaye mimi huja hapa MMU hili ni jukwaa lenye raha sana unasoma vitu mpaka unasahau taabu zetu! natamani kuhamia kwenye hili jukwaa, ila namna style ya uandishi kwenye jukwaa hili sasa du naona kama mgumu vile but ni jukwaa lisilo na stress!
hahahaha huko kazi kweli kiongozihaha kule siasa tunakuweza sie mkuu cc@ritz
Wazee wa Ng'ombe nyingi ni mwiko kuwa na mke au mpenzi mmoja hahahahaaaaaaaaaaaaa manake mgawanyo wa majukumu utayumba! labda ni jitihada za kuongeza ili kubalance majukumuKaribu mkuu,
Ningependa kujua je tayar upo kwenye mahusiano/ndoa? fahamu siri ya jukwaa hili kua halina stress nikua kila memba humu yupo kwenye mahusiano ikibidi zaidi ya uhusiano mmoja! So nakusii kama huna mpenzi hatua ya kwanza tangaza dhamira yakumpata wako vinginevyo hutapokelewa!
Wazee wa Ng'ombe nyingi ni mwiko kuwa na mke au mpenzi mmoja hahahahaaaaaaaaaaaaa manake mgawanyo wa majukumu utayumba! labda ni jitihada za kuongeza ili kubalance majukumu
Ngumu kidoso Preta lakini ni mahali salamaNamna style ya uandishi kwani ipoje.......?