Baada ya bajeti ya nishati na madini kupita mgao wa umeme warudi kwa kasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya bajeti ya nishati na madini kupita mgao wa umeme warudi kwa kasi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rumishaeli, Aug 18, 2011.

 1. Rumishaeli

  Rumishaeli JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Duuuh hali inatisha Wenje kasimama kuomba kujadili swala la umeme kwani mgao huko mwanza una siku nne. Jamani huu uchumi utakua kwa hali hii? Naona spika kampotezea kana kwamba si hoja muhimu.
   
Loading...