BAADA YA APPLICATIONS ZA WAAKIMU WAPYA

BAADA YA APPLICATIONS ZA WAAKIMU WAPYA

Joined
Jun 25, 2014
Posts
29
Reaction score
20
Kwa wale waalimu waliofanikiwa katika kufanya applications zao vizuri nawapongeza sana,! But nawakumbusha tu kuwa kutuma maombi ni ishu nyingine na kuchaguliwa kupewa hiyo kazi pia ni case nyingine.! Hivyo nawasihi dua na sala ziendelee maana ajira 4549 ni kiduchu sana ukilinganisha na malaki ya waalimu waliopo mtaani.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili yako unafikiri yupo mwalimu asiyetambu hilo?
 
Hayo malaki unayo yasema toka 2014-2017

Kunabadhi wapo private na hawana mpango na hizo ajira

Kuna wameoingia sekta nyingine tofaut na ualimi maisha yanaenda na hawanampango na chaki kabisa

Wengine baba zao washawapa mtaji wana maduka makubwa mjini, vyeti washatupa kapuni

Wengine hawana shida na hizo kazi kwani wanaamini kilimo wanatoboa

Wengine wanaendelea masterz hawanashida na ualimi tena

Wengine walishabadili fani waliamua kwenda afya baada ya kujua ualimu hauna dili tena (hasa sayansi ushahid upoo)

Kwa hiyo mkuu tulia tu, watapata kazii acha kuwakatisha tamaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una roho ya wivu na husuda tu... Kifupi ushirikina.

Acha walimu wapate ajira.
 
Back
Top Bottom