Baa kuna Vituko vyake bhana

Moja ya vituko nimeviona sana baa ni;

1.wanaokuja kutafuta meza yao peke yao
2.wanaokuja na mademu kutafuta meza zilizojificha gizani
3.waliokaa meza moja alafu hawaongei (wote wapo busy na smartphone wanachati)
4.wanaokunywa soda na Konyagi
5.Wanaoenda toilet mara kwa mara
6.Baamedi anayejifanya anajua kucheza mziki kuliko wengine
7.Waliokuja baa kwa ajili ya kiangalia mpira (mara nyingi wanakunywa maji)

Na wewe Ongezea.....
Namba 7 umelenga aiseee
 
Wanao enda Baar kuonesha Magari yeye hawez shuka mbaka aone watu wanaangalia gari ndio anafungua mlango na kushuka, na akifika mezani ufunguo huweka juu Ya meza ili watu waone kuwa ana gari
 
Write your reply...foleni ya kumsubiri bar maid mgeni alafu anapotea baada ya kufunga na kesho unaenda asubuhi na jioni kama kwenye ibada vile
 
Wanao enda Baar kuonesha Magari yeye hawez shuka mbaka aone watu wanaangalia gari ndio anafungua mlango na kushuka, na akifika mezani ufunguo huweka juu Ya meza ili watu waone kuwa ana gari
Au ufunguo anauzungusha zungusha kwenye kidole ili watu waone
 
Moja ya vituko nimeviona sana baa ni;

1.wanaokuja kutafuta meza yao peke yao
2.wanaokuja na mademu kutafuta meza zilizojificha gizani
3.waliokaa meza moja alafu hawaongei (wote wapo busy na smartphone wanachati)
4.wanaokunywa soda na Konyagi
5.Wanaoenda toilet mara kwa mara
6.Baamedi anayejifanya anajua kucheza mziki kuliko wengine
7.Waliokuja baa kwa ajili ya kiangalia mpira (mara nyingi wanakunywa maji)

Na wewe Ongezea.....

8.wanaokagua kila meza kutafuta jamaa zao wawapige mizinga
 
Mumi na rafiki zangu kama tukiamua kuwa boyz out only tukufika bar tunamchagua bar maid mbaya kuliko wote ndiye atuhudumie na tunaambiana atakayeanza kumuona muhudumu wetu amekywa mzuri hiyo que kuwa amelewa aende zake home!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom