BA-PSM ,MUCCOBs

Mpigamsuli

JF-Expert Member
May 24, 2012
3,885
575
wana jf hii kozi ya procurement nimeichagua pale MUCCOBs na vip suala la ajira naweza pata ajira yenye mshahara mzuri!
 
kumbuka muccobs hakuna kuuza sura shule kwenda mbele .soma ukimaliza ufanye mitihan ya bodi ndo uanze kuulizwa maswala ya mshahara
 
kiongozi masomo mengi cku hizi ukimaliza Degree ya kwanza itakubidi ufanye mitihan ambayo hutolewa na bodi husika kwa mfano wahasibu hufanya mitiani ya kuwa certify kama Public accountants ie certified public accountant cpa na mithan hii inatolewa na bodi ya nbaa.kadhalika na maafisa ugav4 hufanya mitian inayokuwa administered bod ya pspt.hii ni ili kufanya wanafunzi kutoka vyuo vyote wawe na standard yakufanana.
 
soma upate knowledge mtzamo wako ukiwa na fikra za kujiajiri na/kuajiri ajira iwe secondary objective.
 
baada ya kumaliza bachelor's degree yako kama utakuwa umefaulu kwa kiwango cha juu MUCCOBs wanaweza kukuajiri kama mwalimu.

PSPBT ni bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi, kirefu chake ni PROCUREMENT AND SUPPLIES PROFESSIONALS AND
TECHNICIANS BOARD. hii ni bodi ambayo inawasajili watu wanaofanya kazi za ununuzi na ugavi. na wanasajiliwa baada ya kufanya mitihani ya hii bodi.

ukishamaliza degree yako na ukafanya mitihani ya hii bodi na ukafaulu unasajiliwa na bodi kama mtaalamu wa maswala ya ununuzi na ugavi.

Muccobs ni chuo cha serikali. Ajira zote za serikali zimehamishiwa na hufanywa na wizara ya ajira na utumishi.
Kabla ya suala la ajira kuwa centralized. Muccobs wangekuajiri moja kwa moja.Sasa ivi ni tofauti.
 
Back
Top Bottom