Kwenye psychology tumesoma giving out to other people is part of healthy life.Huu nao ni uoga tu na labda niseme ni ubinafsi wa mwanadamu....
Furaha ni jambo ambalo halijulikani kwa wengi kabisa na huenda waliowahi kuionja furaha ni wachache sana.hayo unayoyataja kuwa ni msingi wa furaha unayoifikiria siyo kweli kabisa....
Furaha ya binadamu ina msingi mmoja tu,kujitoa kwaajili ya wengine na suala la ndoa ni mojawapo wa jambo lilaloleta furaha kwasababu misingi ya ndoa ni kujitoa kwaajili ya mwingine,unachosema wewe ni uoga na ubinafsi ambao unakuletea hisia ambazo wewe unaziita furaha wakati sivyo.....
Utamu wa maisha una mambo ambayo wengi hatuyataki na kuyapenda kwasababu yanaonekana yana changamoto kuyafanya,kama hilo na kufikiria kuhusu "sisi" na siyo "mimi"...
duhhhh, tutaangalia huko huko kwenye mcheleSina wa kwenda nae ndio maana
Yeah!!!!!!Kwenye psychology tumesoma giving out to other people is part of healthy life.
Being selfish can make you a misery.Yeah!!!!!!
Maisha bora kabisa ni yale ya kujitoa kwaajili ya wengine bila kutarajia malipo yoyote ya aina yoyote.....
This best part will only come when mother and father are still together as husband and wife.The best part of marriage life is when all the kids are grown up and have left the nest, it's all about you and your wife again.
That's what I'm saying, when you know your spouse too well and you know when to argue with him/her and when to stay quiet. Remembering the days when children were growing up with laughs and joy. That is the best moment.This best part will only come when mother and father are still together as husband and wife.
nioe bnaBado nipo nipo sana.....
Tanzania ilivyobarikiwa maua hivi. Sioi saiv mpaka nigote 40years plus
Chama Seniour Bachelor.
Cc: Kevin Twisa
Ni kweli lakini ukweli huu ni mgumu sana kwa wengi kwasababu binadamu ana ubinafsi ambao kuachana nao inabidi afanye kazi kubwa....Being selfish can make you a misery.
duhhhh, tutaangalia huko huko kwenye mchele
Akikubali nitakuwa matron wako plz.nioe bna
member wachache sana? Acha woga wewe ni gentleman tualike wote atakaeweza kufika afike au??Kutakua na representative wachache sana
nioe bna
hapana si unacheza nae tu bhana? hatakuwa na sumu yeyoteWe huntakii mema naona
ahaaaa kwanini jamani? yaani nilivo ungejua nilivo mpole huwezi aminiKhaaaas ww hata bure sitaki. Nawaogopa watu wawili humu ndani. Wewe na miss chagga
Labda tusuuze rungu tu. Kuoa mtaniua
kanikataa mwenzanguAkikubali nitakuwa matron wako plz.
Khaaaas ww hata bure sitaki. Nawaogopa watu wawili humu ndani. Wewe na miss chagga
Labda tusuuze rungu tu. Kuoa mtaniua
Hapana aisee. Bado nna tamaa sana sitaki kujifunga...tehAkikubali nitakuwa matron wako plz.
Tuanze maombi anaweza kubadili mawazo.ahaaaa kwanini jamani? yaani nilivo ungejua nilivo mpole huwezi amini
Tunaanza maombi ubadili mawazo, sijawahi kuwa matron hii itakuwa nafasi yangu ya pekee.Hapana aisee. Bado nna tamaa sana sitaki kujifunga...teh
ahaaaa kwanini jamani? yaani nilivo ungejua nilivo mpole huwezi amini
Tunaanza maombi ubadili mawazo, sijawahi kuwa matron hii itakuwa nafasi yangu ya pekee.