<b> Mapenzi na Manetwork=Wizi mtupu</b>

<b> Mapenzi na Manetwork=Wizi mtupu</b>

The World is going ndivyo sivyo, God grant me the serenity to accept the things Ican not change , the courage to change the things I can and the wisdom to know the difference.
 
Pole sana dada umesema kweli tupu kumbuka binadamu ni kiumbe mzito. Naamini jf wapo wastaarabu pia. Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu kinachotakiwa ni kukesha na kuomba na kufunga ili kupata haja za mioyo yetu. Mi binafsi mapenzi ya mtandaoni ni uzushi mtupu kwani ni kama ndoto na kusadikika kwani siku mwaonana mmoja anakuwa haridhiani na mwingine na kuishia hapo baada ya chating kibao
 
Back
Top Bottom