B.Fernandes: Mtanzania aliyekataa mshahara wa Mil 425 marekani arejea Tz

---
d3843c27cb491bfb022ab5cc5296248d.jpg




Ni 425 million kwa mwaka, sawa na 35 million per month.
Kuna watu wanalipwa 60 million hapa Tz
 
Huyu mshikaji sijamuelewa. Akichukua kazi wizara ya fedha kwa mshahara wa milioni mbili laki nne na elfu thelathini na mbili ndio nitamuona kweli hajali pesa anajali uzalendo

Kuna watanzania wazalendo kushinda yeye wako Marekani hawapati hata robo ya hiyo hela aliyoikataa lakini huwatoi Marekani hata kwa bunduki kwa sababu wanajua wakirudi Bongo hata hicho wanachopata hawatakipata tena.
 
Hiyo ni zaidi ya us 17,000 kwa mwezi alafu unasema pesa ndogo hiyo ? Mkuu vipi wewe uko sawa kweli ?
Ndogo kwa kufanya kazi USA maana hakunaga kukwepa kodi huko. Hapa wazungu wanalipwa kuanzia dola 25000 mpaka 70000. Hizo kwa huko hakuna kitu.

Havome
 
Kwa mwezi ni only 35.4. Its not a big money in us

Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mwezi ni only 35.4. Its not a big money in us

Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
 
Watu hawajui historia hizi. Baba yake alisoma Marekani kwa makusudi ya kuja kuanzisha kanisa. Mission ni hiyo hiyo! Hawezi kubaki huko. Babu yake alikuwa fundi mitambo ya viwanda vya chai, tumefanya nae kazi, namjua fika!

Ninavyojua Baba yake Dr. Fernandes sio Degree holder. Alipewa Udoctor kama heshima tu. Ahsante
 
Nakwambia huyo namfahamu fika. Hayo ni uongo. ferdinandes amesoma USA. baba yake alikuwa anaservice machine zetu za chai

So what? Huyo mtoto kadanganya nini? Pitia website ya Stanford ujionee.

Au na Stanford ni waongo?
 
Back
Top Bottom