Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,125 Jul 4, 2012 #21 sister said: ukisema cha nini wenzako wanasema tutakipata lini.......huyo ndo KIM . Click to expand... kwanini alikubali kuolewa huku kumbe anamegwa na njemba nyingine?
sister said: ukisema cha nini wenzako wanasema tutakipata lini.......huyo ndo KIM . Click to expand... kwanini alikubali kuolewa huku kumbe anamegwa na njemba nyingine?
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Jul 4, 2012 #22 Abdulhalim said: kwanini alikubali kuolewa huku kumbe anamegwa na njemba nyingine? Click to expand... hiyo ya kuolewa inasemekana ni mchezo tu ulipangwa na E! News ku make headline basi.........wazungu utawaweza kwa drama....... kama walivyotuongopea osama kauliwa kumbe siyo kweli.
Abdulhalim said: kwanini alikubali kuolewa huku kumbe anamegwa na njemba nyingine? Click to expand... hiyo ya kuolewa inasemekana ni mchezo tu ulipangwa na E! News ku make headline basi.........wazungu utawaweza kwa drama....... kama walivyotuongopea osama kauliwa kumbe siyo kweli.
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Jul 5, 2012 #23 Ndallo said: Click to expand... Huyu nae yupo ktk lile chama la Kanumba nini?