herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,303
- 3,987
Usipoyafulia utanyeshewa ama kuyakanyaga [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mondi ni Kama maji hakwepeki
npo mbeya mwamba 88.5 clouds fmMkuu ukowapi(mkoa gani) samahani kwakuulizia mkoa simanishi ukabila
Sent using Jamii Forums mobile app
npo mbeya mwamba 88.5 clouds fm
Mondi anaongoza kuanzia Tanzania mpaka Kenya kwenye takwimu za boomplay wangekuwa wa kweli kuliko kujidanganya watu walikuwa wanawachora tu kulikuwa naubaya gani kusema ukweli nandy kashika nafasi ya 2 bila kumtaja wa 1?Hiyo uliyoweka wewe ni ya Kenya sio ya Tanzania
Diamond amewaloga??Mondi anaongoza kuanzia Tanzania mpaka Kenya kwenye takwimu za boomplay wangekuwa wa kweli kuliko kujidanganya watu walikuwa wanawachora tu kulikuwa naubaya gani kusema ukweli nandy kashika nafasi ya 2 bila kumtaja wa 1?
hahaaa kuhusu hapa sokoinne platinum na Tulia wametuaidi kapeti jipya ko tutakosa burudan ya soka kwa mdaOK OK,hawajamaa nadhan sikuhizi wanatoa huduma kwajili ya wananchi waishie vijini sana ,nawasio wasomi.kama wangekua wanatambua kwamba leo hii dunia village basi wasingejisahau sana ....vip uwanja wa sokoine ccm wanampango gani hua wanadai niwao....naona timu zinahamia kucheza kwa mtwa mkwawa
Sent using Jamii Forums mobile app
cjasema dozen wanauadui na diamond naomba usome vzuriWakati unasema dozen na mondi wanachukiana,kumbuka bdozen kamfollow mond na mond amefollow back,ni washkaji kwenye instgram.