Wakuu toka nimenunua hii kitu G6 kiukweli sijawahi kufurahia maisha kabisa na siku zinavyo sogea ndio hali inazidi kuwa mbaya,
Yafuatayo ni matatizo yanayoninyima raha na kuwa karaha
Mosi, kina kata kata sana kuliko hata Startimes
Pili chaneli kupotea potea kila mara
Niliambiwa tatizo ni net wakati hapa kwangu mnara ukianguka unaniangukia na kwenye pc napata speed ya hatari mitandao yote
Nikaambiwa labda dish dogo nikanunua kubwa futi 8 sijui kitu bado inazingua
Nikabadilisha lbn nikaweka sijui mnaita ya hd hadithi ipo pale pale
Nikaweka vifurushi kila aina ikiwemo kuweka vocha ya sh 20elf lakini kitu full kukata kata
Naanza kupata wasiwasi na uwezo wa G6 hizi sababu server hazina mashiko inaonyesha kila keys zikibadili basi ngoma zinapoload lazima itakatakata na kustuck
Pia inaonyesha hawa jamaa server zao zimeanza kuzidiwa na kadri watumiaji tunavyozidi hali inazidi kuwa mbaya wakati wa mechi za epl ngoma inapoteza poteza chaneli nk
Kusema kweli huduma zao ni asilimia kama 35 tu ya kile nilikuwa natarajia kutoka kwao
Labda kuna mahali nakosea au labda kunamtumiaji wa G6 anaipata vizuri tunaomba kushere uzoefu ili tupate tunachotarajia kwa kuwa wakweli na wawazi
Mnakaribishwa