Azizi Ki tumepigwa mchana kweupeee

Azizi Ki tumepigwa mchana kweupeee

.
1660113463286.jpg
 
Ujinga mwingine ni mzigo. Sasa mbali na goli kuna kingine kafanya?
😎 😎 😎 Huo wako ni Upumbavu kabisa...Kwa hiyo goli unafunga tu kama uko chooni unajisaidia haja kubwa??? Kufunga goli kama lile kunaonyesha amefanya juhudi za kutosha...Mashuti mangapi amepiga kwa Manula kabla hajafunga goli??? Kuwa na data kwanza usiongee tu kama Mlevi wa Gongo wa Uwanja wa Fisi.
 
Hongera Aziz Kindamba kwakuja kuchuma hela za gsm na wana yanga wasio na akili
 
Mchezaji wa Afrika Magharibi aache kwenda Ulaya au China eti aje acheze NBC Premier League
Mwenzake Konate alienda zake mambelee hukooo. Yeye kaja Salamander. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani alitumwa kufanya nini kingine?
Alitumwa kucheza dkk 9 ktk match muhimu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ufunguooooooooooooo!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom