Aziz ki pole sana

Mbape alijiunga na Real Madrid moja kwa moja akapata namba
Bora hakuwepo mechi ya juzi wangetupiga kono la nyani.....ahoua mapenati Naye aliingia kwenye mfumo wa mapenati huku ametoa ulimi nje kama mbwa
 
Mkewe anajua haya 🤔
 
Aziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha
Sidhani kama ni mfumo ndio umemkataa bali yule ndo Aziz tunayemjua tuliyeanza kumfuatilia tangu atue Uto! Huwa anachelewa sana ku-gain momentum, na hata Uto ilikuwa hivi hivi hadi wakaanza kumkataa!!
 
Mfano mzuri kwa mayele pyramid pale alianzia bench sahv ana anza sasa lazima aonyeshe challenge kwa wachezaji wenzake ili aweze kuanza
 
Lazima itachukua muda kuingia kwenye mfumo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…