Habari wana ndugu nikiwa katika kusoma maandiko nimekutana na hili neno limenigus a nikaona si kushirikiana tu kwingine hata kwenye kuokoa roho zetu pia
Mithali 6:32
MTU AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA;AFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE
ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA WALA FEDHEHA YAKE AITAFUTIKA
MMH JAMANI WALE BEBA BEBA TUSHTUKE KIDOGO ;
MENGINE MENGI TUTAAMBIANA
habari wana ndugu nikiwa katika kusoma maandiko nimekutana na hili neno limenigus a nikaona si kushirikiana tu kwingine hata kwenye kuokoa roho zetu pia
mithali 6:32
mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
atapata jeraha na kuvunjiwa heshima wala fedheha yake aitafutika
mmh jamani wale beba beba tushtuke kidogo ;
mengine mengi tutaambiana
it looks like hujui zinaa ni nini!....kitabu cha mithali kimeandikwa na mfalme suleiman anaaminika kuwa alikuwa na hekima za hali ya juu, hamna mtu amewahi kutokea mwenye hekima za kwake tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.
Yeye alikuwa na wanawake zaidi ya elfu moja, na alimuua jemedari wake ili amuoe mke wake.
Hapo kaka pambanua mwenyewe.
haya ni ya kweli lakini binadamu siku hizi hawamuogopi mungu na maandiko kwao hayana maana.
Ndio maana chochote kisicho cha haki au halali kinakua dili
Nope! aliyeua jemedari sio Sulemani, ni baba yake (Daudi) tena huyo alokuwa mke wa Jemedari ndo akaja kumzaa Sulemanikitabu cha mithali kimeandikwa na mfalme suleiman anaaminika kuwa alikuwa na hekima za hali ya juu, hamna mtu amewahi kutokea mwenye hekima za kwake tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.
Yeye alikuwa na wanawake zaidi ya elfu moja, na alimuua jemedari wake ili amuoe mke wake.
Hapo kaka pambanua mwenyewe.
Naona neno hili la biblia lina mlenga zaidi mwanaume kuwa hana akili ambayo sio sahihi, wote mwanamke na mwanaume wazinifu hawana akili. Ingekuwa sahihi kama lingesomeka hivi" mtu aziniye na mwanamke au mwanaume hana akili kabisa"...................habari wana ndugu nikiwa katika kusoma maandiko nimekutana na hili neno limenigus a nikaona si kushirikiana tu kwingine hata kwenye kuokoa roho zetu pia
mithali 6:32
mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
atapata jeraha na kuvunjiwa heshima wala fedheha yake aitafutika
mmh jamani wale beba beba tushtuke kidogo ;
mengine mengi tutaambiana
Eeeh,kila mtu anajua lwake,mimi sijiviki uwakili juu ya hili!!Nope! aliyeua jemedari sio Sulemani, ni baba yake (Daudi) tena huyo alokuwa mke wa Jemedari ndo akaja kumzaa Sulemani
Nope! aliyeua jemedari sio Sulemani, ni baba yake (Daudi) tena huyo alokuwa mke wa Jemedari ndo akaja kumzaa Sulemani
biblia inasema
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa;si lazima uwe na elimu ya mastas piehdi uwezew kupata maarifa;ukiwa na maarifa ya mungu hata leo wa phd wanateseka sababu ya kukosa maarifa;praise the lord
mkuu bujibuji unachanganya mfalme daudi yeye ndiye aliyeua jemadari wake sio suleman,samahani nilikuwa naweka sawa,watu wengine hawasomi biblia wasije qoute vibaya.amani iwe nawe
Naona neno hili la biblia lina mlenga zaidi mwanaume kuwa hana akili ambayo sio sahihi, wote mwanamke na mwanaume wazinifu hawana akili. Ingekuwa sahihi kama lingesomeka hivi" mtu aziniye na mwanamke au mwanaume hana akili kabisa"...................