Azimio langu la kuwa na zaidi ya mke mmoja

Unauhakika wa kuwatunza hao watoto mkuu?

Utaandaa kizazi cha chuki maana watoto tulioshare baba huwaga hatupendani

Itakucost siku za usoni
Ntawaandaa kisaikolojia,,, kila kitu katika hii dunia kinaandaliwa. kama unahitaji sanaa ya kuwafanya wapendane ni somo lingine. Wazazi wengine wanakosea wanapoonesha mapenzi zaidi kwa baadhi ya watoto... ukiwa nao sawa watapendana tu
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Mkuu, Uzi wako wakati naupitia nimejiuliza mengi, kuwa kumbe binadamu tuna akili zilizoshabihiana, maneno yako ni kama yametoka kwenye mawazo niwazayo kila siku, NIKIWA NA UWEZO KIUCHUMI NITAKUWA NAO HATA KUMI. na hii yote ni kwa sababu napenda watoto, now ninao watoto wawili kwa wazazi wawili ila mzazi mmoja nimempotezea maana ni Mangi, ni korofi sijawahi ona nchi hii. Nitaziishi ndoto zangu, one day
 
Back
Top Bottom