Azimio langu la kuwa na zaidi ya mke mmoja

Nilishawahi kuandika kuwa pindi uchumi wangu ukiimarika ntaongeza idadi ya wanawake... Kwa uchumi wa kawaida tu nimeshakuwa na wake watatu, warembo sana akiwemo mke wangu wa ndoa. Maana mie ni mkristo, nimefunga ndoa na mmoja tu.

Nimegundua kumbe wanawake hawahitaji pesa ila uhakika wa mwanaume wa kuishi nae. Bahati nzuri wangu wote ni wafanyakazi wa serikali. Nahitaji niongeze wengine wazuri wawili, lengo ni kuwa na watoto wengi sana na pia kupunguza idadi ya wanawake wasio na wanaume wa kuoa.

Mke wangu wa ndoa ana watoto 2... huyu mpya ana mimba ya miezi 3... mmoja nae anasema hajaona siku mwezi huu, nadhani mambo sio mabaya. Maana wasichana warembo ni wengi sana mtaani.

Pia wamenifanya sichepuki siku hizi, nina zaidi ya mwaka na sitamani ovyo.... nimechagua wazuri. Tusaidiane kuwa na wake zaidi ya mmoja jamani, uwezo tunao
Hahahahaa haki wee baba Mungu anakuona kama ni kweli
 
Kuudhihaki ukristo! Haikubaliki!
Umemweleza huyo aliyekufungisha ndoa kwamba sasa umefunga ndoa mbili nyingine za hewani na una mpango wa kuongeza nyingine?
 
Back
Top Bottom