Keen
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 617
- 172
Heshima kwenu GTs,
Mimi ni mmojawapo wa alumni wa Azania Secondary. Katika kuhamasisha wanafunzi kupenda kusoma hasa somo la hesabu, napendekeza wanafunzi wote tuliosoma Azania (PCM) tuanzishe award tutakayokuwa tunaitoa kwa BEST student (at least B score) katika mtihani wa form six (National) kila mwaka kwa miaka mitano then tutafanya tathmini kuona impact ya hiyo award. Zawadi inaweza kuwa cash au material thing(s). Namna ya kupata pesa ni kipitia monthly contributions.
Nawasilisha.

. "In the having of peace Azania stand at ease, to waken, strengthen, feeds our hungry minds " .....You are known far and wide.....we will never forget you" ....lilikuwa bonge la school anthem.