Daaah maisha ni jinsi unavyoyachagua, karibu DStv now ufurahie.
View attachment 1216452
Jina la appDaaah maisha ni jinsi unavyoyachagua, karibu DStv now ufurahie.
View attachment 1216452
App inaitwa DStv Now, unaunga account yako ya DStv kuweza kupata vipindi vyote kupitia simu/tablet/laptop.Mkuu, naomba unitumie jina la app
App inaitwa DStv Now, unaunga account yako ya DStv kuweza kupata vipindi vyote kupitia simu/tablet/laptop.
Nunua kifurushi cha Tshs 28,000 na utafurahi roho yako.Kama mmeamua kutengeneza app kwa ajili ya chanel zenu vipi tena inawapata kazi ya kuzihamisha kila mara Yaani kukiwa na football mechi mnahamisha chanel ili eti watu wakaangalie kupitia ving’amuzi,Yaani Yaani bado hamjui kwamba watu wako karibu na simu zao kuliko ving’amuzi ambavyo wameviacha nyumbani.
Na hamjui kwamba umaarufu wenu unatokana na mpira tu na si vinginevyo?
Hebu tuandalieni utaratibu wa kulipia chanel zenu ili tuweze kuendelea kuona Ktk simu bila kero vinginevyo hata hiyo app yenu itakuwa haina maana yoyote tutaifuta tu.
Acheni kulewa sifa
Ina depend na uamuzi wako,kna option pale za quality,jinsi unavyochagua quality nzuri ndo itakavyokula mb nyingiNiliwahi kutumia hiyo app ni clear, sema inakula mb nyingi sana...Azam hata ukiwa na mb 200 unacheki ball dakika zote.
Niliwahi kutumia hiyo app ni clear, sema inakula mb nyingi sana...Azam hata ukiwa na mb 200 unacheki ball dakika zote.
Mb 200 unaangalia mpira kwa quality gani mkuu...
Raha ya mpira ni kustream at 1080p
Ina depend na uamuzi wako,kna option pale za quality,jinsi unavyochagua quality nzuri ndo itakavyokula mb nyingi
Sidhani kama wana quality za kuchagua kama Bein Sport...huwa nikiingia inanipa papo hapo
Hiyo 1080 safi sana sema inakula mb kama haina akili
Huwezi kujua kama hutumii vitu hivi boss...
Check that out...
Mfalme yupi mkuuShukran kamanda wangu...vipi maendeleo ya mfalme? Amepewa siku ngapi kuuguza jeraha?
Mkuu hii App inapatikana play store au?Daaah maisha ni jinsi unavyoyachagua, karibu DStv now ufurahie.
View attachment 1216452
Huwezi kujua kama hutumii vitu hivi boss...
Check that out...
Thanx kamanda, nina app ambayo inaonyesha aina zote ya mpaka hiyo ya 1080..dah sometimes inasumbua sana...
App ipi mkuu unatumia?