Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 693
- 1,907
Uongozi wa Azam FC umefikia makubaliano ya kumkabidhi timu aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu, Kally Ongala hadi mwisho wa msimu.
Uamuzi huo umefikiwa kutokana na kiwango bora timu imekionyesha chini yake, hivyo viongozi wameamua kusitisha taratibu za kutafuta Kocha mpya.
SportsArena.
Uamuzi huo umefikiwa kutokana na kiwango bora timu imekionyesha chini yake, hivyo viongozi wameamua kusitisha taratibu za kutafuta Kocha mpya.
SportsArena.