Sam 2023
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,978
Habari ya wakati huu!
Nimeona tangazo la dekoda ya antena ya azam kwa bei ya 99,000/= tu.
Muonekano wa picha ni HD.
Bei za vifurushi zimegawanyika kwenye makundi tofauti 8,000/=, 13,000/=, 23,000/= 28,000/=.
Natumaini ujio wa azam utaleta changamoto ya kibiashara kwa washindani wake.
Ushauri wangu kwa startimes na makampuni yenye ving'amuzi vya antena wawe serious na kazi, vinginevyo azam anakuja kuwamaliza kabisa.