lazima mkae tu..
Kavumbagu jino kwa jino na YONDANI
Najua kaka una mapenzi na Yanga, simba unajilazimisha tu. Karibu tu Yanga
huu bado ana uyangayanga kiaina..
siku moja nitakaribia
1 - 1 half time
Azam kwa Yanga ni wateja. Watashambuliaaa ila mwisho wa siku watakalishwa!
Duuuuuuuuh! hawa spurs wametubania tena! 0key subiri hawa jangwan wanipe furahaFull time: MAN UTD 0-0 TOTENHAM
tupeni matokeo ya mtibwa game iliyopigwa asubuhi[/QUOTE
Stand 1 mtibwa0
walitoka sare ya 1;1 mkuu