Mkuu weka mambo vizuri: sema hivi ungependa leo Yanga wakutane na kipigo kingine. Naamini hii ni roho mbaya tu kwa adui, ninyi tayari mmecheza dua za nini tena kwa Yanga? Kwa bahati mbaya mambo siyo lazima yawe kama unavyotaka wewe. Yanga timu tandika lambalamba watoto wa nyau jike wa Msimbazi.
Sasa Stand utd wamefikisha points 10 daaaah kwaiyo Simba tumeshuka hadi nafasi ya 10 na points zetu 9 hii haikubaliki hata kidogo nafasi ya 10 kati ya timu 14?
Sasa Stand utd wamefikisha points 10 daaaah kwaiyo Simba tumeshuka hadi nafasi ya 10 na points zetu 9 hii haikubaliki hata kidogo nafasi ya 10 kati ya timu 14?