Siyo bure nimewafata wakanambia eti niongezee elfu 40 ndio zioneshe bureKwambaa?? Local channels sio bure au??
ndio walichonambia...so inategemea kama umenunua king'amuzi cha bei chee au bei juu???
Dishi wanasema bado kuanza kulipia bureninacho cha dish hakuna chaneli ya bure
ni cha dishi.. nilinunua elfu 84 kama sijasahuaAhaa hapo sawa mkuu...! Hicho cha Sh ngap??
Mkuu hawa Jamaa sijui wanatumia utaratibu gani, home kipo Startimes lakini hakilipiwi na kinaonesha local channels free kina kama miezi3 tangu kianze na hakikulipiwa kitu chochoteMi niko startimes lakini kibaya zaid bado wanakata makato ya kila mwezi
Azam hakuna local channels ni kama DSTV tu mkuuBaada ya Dstv kufutiwa Local channels kwa kweli Sina mood nayo kabisa labda kuangalia mpira Tu...! So Ushauri jamani kati ya Star times na Azam kipi King'amuzi bora kuanzia gharama mpaka kuhimili hali mbaya za hewa??? Kipi kinaonyesha Local Channels bure??
NB: Tokana na mabadiliko waliyoleta TCRA na sheria zao kuna mabadiliko makubwa sana kwenye Ving'amuzi so Mods msiunganishe huu uzi na Uzi wa mwaka 2017 huko please...
Yaani ni wahuni... ukitaka kusichohitaji kulipiwa kina bei yake.. kwa hiyo hayo makato wanayakata indirect, mfano cha dishi ukinunua 84 elfu hutakaa uone chanel hata moja hata TBC haioneshi ila ukiongeza hiyo elfu 40 ndio unaona zile za bure, hawa jamaa hawafai hata kidogo na sijui wanapata wapi kiburi hiki cha kuibaMkuu hawa Jamaa sijui wanatumia utaratibu gani, home kipo Startimes lakini hakilipiwi na kinaonesha local channels free kina kama miezi3 tangu kianze na hakikulipiwa kitu chochote
Baada ya Dstv kufutiwa Local channels kwa kweli Sina mood nayo kabisa labda kuangalia mpira Tu...! So Ushauri jamani kati ya Star times na Azam kipi King'amuzi bora kuanzia gharama mpaka kuhimili hali mbaya za hewa??? Kipi kinaonyesha Local Channels bure??
NB: Tokana na mabadiliko waliyoleta TCRA na sheria zao kuna mabadiliko makubwa sana kwenye Ving'amuzi so Mods msiunganishe huu uzi na Uzi wa mwaka 2017 huko please...