Azam Ukwaju wanautoa wapi?

Azam kwa sasa wananunua ukwaju wote unaopatikana nchini
Ukwaju unapatikana kwa wingi maeneo ya kati ya nchi kama singida

Ni kweli wananunua Dodoma na Singida

Mara ya mwisho nilipokua huko nilisikia wagogo wakifurahia ananunua tani moja(kg 1000) kwa 1milion
 
Kuna daktari niliona akifafanua hiyo juice ya ukwaju halisi na kusema kwamba gradients zake ni hatari sana kwa mtumiaji maana siyo halisi,kwahiyo wasingepaswa kusema ni ukwaju halisi, na ukiangalia uzalishaji gani hapa nyumbani una mashamba ya ukwaju kiasi kwamba azam kuzalisha kiasi kikubwa cha ukwaju
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaani kuna watu wanauza ice baridi za ukwaju,sasa zile ndo hazina fleva kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…