Swali zuri. Maandishi kwenye chupa yanasemaje? Kila product huwa wanaandika imetumika kutengezwa kwa mchanganyiko wa nini.Naomba kufahamu Azam ukwaju wanaotumia kutengenezea juice ya ukwaju (ukwaju halisi)wanapata wapi?hili zao inalimwa wapi kwa uwingi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali lake ni "wanapata wapi?"Swali zuri. Maandishi kwenye chupa yanasemaje? Kila product huwa wanaandika imetumika kutengezwa kwa mchanganyiko wa nini.
Nimeelewa ndiyo maana nikasema ni swali zuri! Nimeuliza chupa imeandikwa nini ili nijue kwani sijawahi kunywa hicho kinywaji, na wakati mwingine wanaweza kutumia flavours zinazofanana na kionjo cha tunda fulani kwenye kutengeneza kinywaji!Swali lake ni "wanapata wapi?"
Swali zuri sana
Hamna ukwaju pale Ni kemikali tu,kula kwa kufata ladha Ila si ukwajuNaomba kufahamu Azam ukwaju wanaotumia kutengenezea juice ya ukwaju (ukwaju halisi)wanapata wapi?hili zao inalimwa wapi kwa uwingi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ukwaji pale zaidi ya flavour .Naomba kufahamu Azam ukwaju wanaotumia kutengenezea juice ya ukwaju (ukwaju halisi)wanapata wapi?hili zao inalimwa wapi kwa uwingi?
Sent using Jamii Forums mobile app