Kwa muktadha waulaghai huu TCRA inangukia kwenye Jipu.Kama kuna mageuzi yaliyonisikitisha, ni uamuzi wao wa kuondoa chaneli muhimu za ndani kama ITV, Star TV, Channel 10, ...katika free to air pavkage. Kwa sasa wamebakisha chaneli 2 tu: Azam Extra na TBC (a.k.a cherekochereko tv). Ili kuangalia chaneli muhimu za ndani itakupasa kuzilipia.
Katika hali kama hii sioni haja ya TCRA kuhubiri kwa nguvu kubwa zama zile ya kuwa chaneli za ndani zitarushwa bure (bila ya mwenye kisimbusi kuzilipia). Hii kuhama kutoka analojia kwenda digitali ni mwiba kwa Watanzania wengi.
kuhusu zuku ku scratch dish lako litakuwa limeyumba mbona kwangu mwemwele...Kwa muktadha waulaghai huu TCRA inangukia kwenye Jipu.
Zuku TV haijawahi kurusha bure hizo channels za kibongo...kwa sasa inaScratch ile mbaya na ni jambo linalojirudia mara kwa mara .....Ukiwaandikia hujibiwi.
Tayari tumeshaiona sasa!MH SIJUI KAMA TCRA WATAIONA THREAD YAKO...
BADO STARTIMES MKUUTayari tumeshaiona sasa!
TCRA wepesi kuina threads nyepesi nyepesi na kujib....ni wagumu kuina threads nyepesi zaidi zilizolala chini ya muhimili wa hitaji la ummaTayari tumeshaiona sasa!
Kabisa mkuu, zuku haijawahi kutoa hizo channels za bure na nasikia wanapandisha bei hadi 18,000 badala ya 15,500 kwa mwezi kuna ukweli?? Ila nina siku 2 scratch kibao, tbc ndo angalauKwa muktadha waulaghai huu TCRA inangukia kwenye Jipu.
Zuku TV haijawahi kurusha bure hizo channels za kibongo...kwa sasa inaScratch ile mbaya na ni jambo linalojirudia mara kwa mara .....Ukiwaandikia hujibiwi.
Nilikwepa kununua Startimes kwa kuchukia Scratching lakini sasa Zuku imekuwa zaidi ya StartimeKabisa mkuu, zuku haijawahi kutoa hizo channels za bure na nasikia wanapandisha bei hadi 18,000 badala ya 15,500 kwa mwezi kuna ukweli?? Ila nina siku 2 scratch kibao, tbc ndo angalau
Mimi nilisema bora ningenunua azamu ili niwe napata local channels free kumbe nao wanaondoaNilikwepa kununua Startimes kwa kuchukia Scratching lakini sasa Zuku imekuwa zaidi ya Startime