Azam TV ni shida, wajirekebishe

Azam TV ni shida, wajirekebishe

Joined
Nov 21, 2014
Posts
19
Reaction score
4
Mwanzo ukilipia gharama za bundle ulitakalo na ukitaka kubadilisha kifurushi kwa kutuma sms *150*50*5 unakaa muda mfupi tu wanabadilisha bila kupiga simu, now days imekuwa kero, unawapigia simu hawapokei mapema mpaka inakata, unarudia tena inafikia hadi dakika nne ndo wanapokea, cha kujiuliza hii ni kampuni au DStv walikuwa hivyo hivyo, JIREKEBISHENI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom