GHOST RYDER
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 1,025
- 475
Hakika Mabadiliko yaliyoandikwa na Gazeti la Mwananchi leo yanadhihirishwa na Ukweli juu ya Habari ambayo nimeishuhudia katika dakika 33 zilizopita sasa kwa habari yao ya Saa zima.
Nimependezwa na Muundo wa Habari na mpangilio wa Habari zao; siataki kuzungumzia weledi wa wasomaji wa leo Bw. Charles Hilal na Bi. Ivona Kamuntu kwa maana ujuzi wao si wa kutilia shaka.
Wameweka interviews break jambo ambalo ni nadra sana katika habari za vituo vingine lakini pia zinaletaa maana ya bridging kwenye habari na kucomplement main story.
Wamaeongeza habari za kusomwa moja kwa moja na msomaji Studio na sio zile za Ripota na mkeka wake mwanzo hadi mwisho wa Habari.
Yanahitajika marekebisho madogo sana kama kujali muda wa kuanza maana leo mmeanza mmechelewa kiasi dakika 4 hivi; inawezekana ni sababu ya mabadiliko ila ni vema kuheshimu muda sana.
Kimsingi ni hatua njema sana kwa ubunifu huu na walau Tanzania tutashuhudia habari ya kwetu wenyewe ambayo itakidhi kiu ya watazamaji wenu.
Licha ya kuwa DTH si vibaya mkafikiria namna bora za kujitangaza na masoko zaidi ili watanzania wengi wanufaike na huduma zenu.
ADIOS