Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,551
Ni juzi tu mlishindwa kurusha world cup,hamjaweza kurusha Kagame na hata EPL hamrushi hata mechi moja ukiachia mbali UEFA.
Hamuoni wenzenu startimes,hamuoni atn,hamuoni tbc na kibaya zaidi hata tbc2 kunakorushwa uefa nyinyi hiyo hamna.
Nataka tu niwaulize,hivi sie wateja wenu wapenzi wa soka mnatuplease vipi? Mnatuletea ligi za holland zitusaidie nini ama mnafurahia tu kupokea 12500 kila mwezi tena kwa vitisho?
Kuweni makini kabla biashara yenu haijaanza kudoda make najua mteja hata mmoja wa kudumu katika biashara ni sawa na mfalme kwako.