Bila shaka ni chuki hizi mkuu, Azam media wafanyakazi wote mle ni waislam mkuu? Azam media wako vizuri kwa kweli mimi wala siboreki kuangalia chanel zao
unamaanisha nin mkuu?Sio TV tu anzia kwenye viwanda
unamaanisha nin mkuu?
Mkuu,Azam tumeipigia promo sana,hata kabla haijaanza kurusha matangazo,na tuliifurahia ilipoanza kuwa hewani,ila kwa hapa ilipofika inabidi tu wanisamehe!Rudi hata wao hawakutaki pia watu km nyie mpo kila sehemu!chuki ni ugonjwa mbaya kaka
Azam ni wadini hadi kwenye michezo .
Uwanja mzima wa azamu mmejaa misikiti nenda chamazi
Kuna Sultan na sinema zetu mkuu!! Sasa hivi angalau tunaangalia nyati na fisi kwenye Safari chanel!Tofauti na ligi kuu Azam kuna lipi hasa!!
That is Islamic TVKweli hiyo?
Channel zipi hizo? Salt?Universal?citizen?au? Yenye nafuu iliyobaki ya nje ni Nat Geo wild tu!Bila shaka ni chuki hizi mkuu, Azam media wafanyakazi wote mle ni waislam mkuu? Azam media wako vizuri kwa kweli mimi wala siboreki kuangalia chanel zao
SahauKwa mana hiyo hata siku ya jumapili hakuna mahubiri ya walokole yanayooneshwa
Thanks for the info ma G!!That is Islamic TV
ππππππWaacheni wana wa mnyaazi mungu
Do oooh kumbe?That is Islamic TV
Hiyo misikiti iliyokuwepo uwanjani wanalazimishwa wachezaji wasio wa hiyo imaani kwenda kuabudu/ kusali? au ni zambi kujenda nyumba ya ibada ? au labda ulipenda wangejenga na kanisa?
Ahahah kwa kweli wana wa subaana waachwe watangaze din ya mnyaaaaaz mung kabisa hahaha ila jf kibokoWaacheni wana wa mnyaazi mungu