AZAM TV ndio Mpango mzima.
We kama unataka uwekewe channel za Ngono umedunda ndugu yangu.
Hakuna anaelazimishwa kununua ni hiari yako.
Ukisusa kumuunga Bakhresa kwenye Decorder basi najua utamkubali sehem nyingie indirect.
We mtu mwenye akili timamu kama sio taahira ndio anaweza kusema Channel za kipuuzi.
Washauri walitumika ni Experts wa kazi hizo kuliko unavyofikiria.
We unalazimisha kila mtu awe na Dstv,we kwa mshahara gani ulionao wa kulipia Dstv kwenye bandle ya maana ya zaidi ya laki moja kwa mwezi huku kwenu Matombo familia inakufa njaa.Huyu anajali watu wa rika zote na bei ni affordable na wala hana mambo ya sijui bandle hii bei hii mara hii bei hii kama waleee.
Kwanza mie nampongeza kwa kuweza kuonyesha Ligi ya Hapa nyumbani,mie nina decorder ya Zanzibar Cable TV na Coconut Digital TV ila nimenunua Azam Decorder kwa mambo mawili muhim,kwanza Ligi ya Vodacom na Sinema za nyumbani and other Movies Channels.
Kwa wanotaka Channel za ngono kwa kuponda Azam Tv wasubiri sana na tuwape pole.
Na Kwa taarifa yako Azam TV Decorder ndio pekee kwa mara ya mwanzo Tanzania kufikia mikoa mingi kiasi hiki kwa mkupuo.
Kwa ufupi utawakubali tu hata kimya kimya.